WAZIRI MULAMULA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA KENYA KWA MAZUNGUMZO YA KUIMARISHA USHIRIKIANO

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akifafanua jambo wakati wa mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya Mhe. Balozi Raychelle Omamo yaliyofanyika jijini Nairobi.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa ameambatana na Waziri wa Ulinzi wa Kenya Mhe. Dkt. Monika Juma (kushoto) walipowasili katika Chuo cha Taifa cha Ulinzi cha nchini Kenya
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akielezea jambo wakati akitoa Mhadhara kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi cha Kenya.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akitoa mhadhara kwa Maafisa Mambo ya Nje Wanawake Vijana wa Kenya, jijini Nairobi.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akielezea jambo wakati akitoa Mhadhara kwenye Chuo cha Taifa cha Ulinzi cha Kenya.
Downloads File: