News and Events

SEKRETARIETI YA AfCFTA YATOA ELIMU KUHUSU MKATABA WA AfCFTA

Sekretarieti ya Mkataba wa Eneo Huru la Biashara barani Afrika (AfCFTA) limeendesha Warsha ya kujenga uelewa wa pamoja kuhusu Mkataba huo kwa Wabunge na Wajumbe wa Baraza Wawakilishi ili kuwa na uelewa wa pamoja…

Read More

WAZIRI MULAMULA AFANYA ZIARA KATIKA MAHAKAMA YA KIMATAIFA YA KESI MASALIA ZA MAUAJI YA KIMBARI (IRMC

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Liberata Mulamula amefanya ziara ya kikazi katika Mahakama ya Kimataifa ya Kesi Masalia za Mauaji ya Kimbari (IRMCT) tarehe 21 Mei 2022 katika…

Read More

TANZANIA YAFUNGUA KONSELI KUU GUANGZHOU, CHINA

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tarehe 20 Mei 2022 imefungua Konseli Kuu mjini Guangzhou China. Uwepo wa Konseli Kuu katika mji huo kuta iwezesha Tanzania kutumia vyema fursa za biashara na uchumi na kurahisisha…

Read More

BALOZI MULAMULA ATETA NA UJUMBE WA WAFANYABIASHARA SWITZERLAND

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) amekutana kwa mazungumzo na Ujumbe wa wafanyabiashara kutoka Nchini Switzerland katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es…

Read More

WAZIRI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO U.A.E

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), nchini kufuatia kifo cha Rais wa Umoja wa…

Read More

UNAIDS YAPONGEZA JITIHADA ZA SERIKALI KUKABILIANA NA UKIMWI

Shirika la Umoja wa Mataifa linaloshughulikia Ukimwi (UNAIDS) limepongeza jitihada zinazochukuliwa na Serikali ya Tanzania katika kupambana na maambukizi ya Virusi vya UKIMWI nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi…

Read More

SERIKALI YAELEZEA MAFANIKIO ZIARA ZA RAIS MAREKANI, UGANDA NA ROYAL TOUR

Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus, amefafanua mafanikio ya ziara ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, nchini Marekani iliyojumuisha uzinduzi wa Filamu ya “Tanzania;…

Read More

WADAU WA UTALII WATAKIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA KUTANGAZA UTALII

Wadau wa Utalii watakiwa kutumia ubunifu zaidi katika kutangaza vivutio vya utalii wa ndani ili kukuza sekta ya utalii na kuongezea pato la taifa. Wito huo umetolewa na Mkurugenzi wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,…

Read More