News and Events

WATUMISHI WA WIZARA WALIVYOMPOKEA WIZARANII MHE.WAZIRI BAADA YA KUAPISHWA

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi…

Read More

BALOZI BRIGEDIA JENERALI WILBERT IBUGE AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke ofisini kwake jijini Dodoma. Katika…

Read More