Rais Dkt. Mwinyi ateta na Mabalozi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amewasisitiza mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali kuzingatia diplomasia ya uchumi na kuzitangaza fursa za uwekezaji zilizopo nchini.Rais…