Naibu Waziri Millya akutana na Uongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki Mhe. James Kinyasi Millya (Mb), amekutana na Amiri na Mbashiri Mkuu wa Jumuiya ya Waislamu wa Ahmadiyya Tanzania, Shekh Khawaja…