Photo Gallery

  • Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim akihutubia katika maadhimisho ya miaka 73 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Mataifa, katika hotuba yake Mhe. Majaliwa amesema kwamba nchini Tanzania hakuna ubanaji wa uhuru wa vyombo vya habari wala taasisi zisizo za kiserikali.
  • Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Ramadhan Mwinyi Muombwa kwa niaba ya Chuo cha Diplomasia Tanzania wakiwekeana Saini na Mkuu wa Chuo cha Diplomasia India Bw. Shri J.S. Mukul, kwenye Mkataba wa Makubaliano ya pamoja Kati ya Chuo cha Diplomasia cha Tanzania na Chuo cha Diplomasia India. Lengo la Mkatabao huo ni kubadilishana uzoefu na kuwaandaa wanadiplomasia bora watakao weza kutekeleza diplomasia ya Uchumi kati ya taasisi hizi mbili.
  • Picha ya pamoja mara ya kumalizika kwa mazungumzo kati ya Dkt. Ndumbaro (wa pili kulia) na Balozi Cooke (wa pili kutoka kushoto), Dkt. Mnyepe pamoja na Afisa Ubalozi wa Uingereza Bw. Matt Sutherlal
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Damas Ndumbaro (kulia) amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Kenya nchini Mhe. Dan Kazungu. Mazungumzo yao yalihusu kuimarisha ushirikiano kati ya nchi mbili ikiwemo kutatua changamoto za kibiashara