Tanzania na Uganda zaongeza wigo wa ushirikiano wa kiuchumi
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Uganda zimekubaliana kuongeza wigo wa ushirikiano wa kimkakati katika sekta muhimu za kiuchumi kwa lengo la kukuza uchumi wa mataifa hayo jirani na rafiki ya Afrika Mashariki pamoja na…