WAZIRI KABUDI AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA UMOJA WA ULAYA NCHINI
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba J.A.M Kabudi akielezea jambo wakati wa mazungumzo yaliyofanyika kwa njia ya Video na Balozi wa Umoja wa Ulaya Nchini Mhe. Manfred Fanti.