Mabalozi wa Tanzania wahitimisha ziara ya miradi maendeleo
Mabalozi wa Tanzania wahitimisha ziara ya miradi maendeleo
Balozi Ramadhani Mwinyi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano alipowasili Makao Makuu ya TCRA akiwa ameambatana na ujumbe wa Mabalozi
Mabalozi wakisikiliza ufafanuzi kutoka kwa mtaalam walipotembelea eneo la ujenzi wa barabara za juu eneo la Ubungo, Dar es Salaam