Mabalozi wa Tanzania wahitimisha ziara ya miradi maendeleo

Mabalozi wakiwa Uwanja Mpya wa Ndege wa Julius Nyerere (Terminal 3) walipotembelea kuona ufanisi wa uwanja huo.

Mabalozi wa Tanzania wahitimisha ziara ya miradi maendeleo

  • Balozi Ramadhani Mwinyi Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano alipowasili Makao Makuu ya TCRA akiwa ameambatana na ujumbe wa Mabalozi
  • Mabalozi wakisikiliza ufafanuzi kutoka kwa mtaalam walipotembelea eneo la ujenzi wa barabara za juu eneo la Ubungo, Dar es Salaam