Skip to main content
News and Events

ZIARA YA KUJITAMBULIISHA ZANZIBAR

9 Agosti 2024 | Zanzibar:  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Kombo (Mb), na Manaibu wake, Mhe. Cosato Chumi (Mb), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mhe. Dennis Londo (Mb) anaeshugulikia Jumuiya ya Afrika Mashariki wamefanya ziara ya kujitambulisha kwa Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussien Ali Mwinyi, Ikulu Zanzibar.