ZIARA YA KIKAZI YA RAIS KAGAME NCHINI TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari kuhusu mazungumzo baina yake na mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Rwanda, Mhe. Paul Kagame (kushoto) leo Ikulu Jijini Dar es Dar es Salaam. Rais Kagame amekuja nchini kwa ziara ya kikazi ya siku moja.