WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA DKT. STERGOMENA L. TAX AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA

Mawaziri wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC )wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya ufunguzi wa Mkutano wa kawaida wa Mawaziri wa SADC uofanyika Lilongwe Malawi Machi 18 – 19,2022

WAZIRI WA ULINZI NA JESHI LA KUJENGA TAIFA DKT. STERGOMENA L. TAX AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA KAWAIDA WA SADC UNAOFANYIKA LILOLONGWE, MALAWI

  • Sehemu ya Mawaziri wa Mawaziri wa nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wakiwa katika mkutano.
  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) pamoja na ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alioongozana nao wakifuatilia Mkutano wa kawaida wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaoendelea Lilongwe,Malawi
  • Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt. Stergomena L. Tax (Mb) akiongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Mkutano wa kawaida wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaofanyika Lilongwe Malawi (Machi 18 – 19,2022). Kushoto kwa Dkt. Tax ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor (Mb) Mbarouk,akifuatiwa na Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb) na Mipango na Naibu Waziri wa Uwekezaji,Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb)