WAZIRI KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO TOKYO NCHINI JAPAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akitoa maelekezo kwa Kaimu Balozi wa Tanzania Tokyo,Japan Bw. John Kambona akiwa na Afisa Ubalozi Bi. Edda Magembe. August 26,2019.

WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI PROF. PALAMAGAMBA JOHN KABUDI (MB) ATEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA ULIOPO TOKYO NCHINI JAPAN.

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akikagua aina ya vitabu vilivyopo katika Maktaba ya Ubalozi wa Tanzania Nchini Japan. August,26,2019.