Skip to main content
News and Events

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Mhe. LEE NAK-YON awasili nchini

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Korea Mhe. LEE NAK-YON awasili nchini

  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Augustine Mahiga (Mb.), naye akisalimiana na Waziri Nak-Yon mara baada ya kupokelewa na Mhe. Majaliwa, wa kwanza kulia ni Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Isack Kamwele naye akisubiria kusalimiana na Waziri Mkuu wa Korea.
  • Mhe. Nak - Yon akisalimiana na Balozi wa Tanzania nchini Jamhuri ya Korea Mhe. Matilda Masuka
  • Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe Dkt. Hussein Ali Mwinyi akizungumza wakati wa hafla ya chakula cha mchana iliyoandaliwa kwa heshima ya Rais wa Romania, Mhe. Klaus Iohannis Ikulu Zanzibar