Waziri Mahiga akutana na Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt Augustine Mahiga akimkaribisha Waziri wa Mambo ya Nje wa Burundi Mhe. Alain Aime Nyamitwe alipomtembelea Wizarani, tarehe 1 Machi,2018, Dar es Salaam