Waziri Mahiga Afungua Kongamano la Kwanza la Biashara Jamhuri ya Korea
Waziri Mahiga Afungua Kongamano la Kwanza la Biashara Jamhuri ya MheKorea
Bw. Geoffrey Mwambe, Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania akitoa mada wakati wa Kongamano hilo lililofanyika Jijini Seoul Korea Kusini tarehe 31 Januari 2018
Mheshimiwa Matilda Masuka Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye Jamhuri ya Korea akitoa neno la ukaribisho wakati wa Kongamano la Kwanza ambalo liliandaliwa na Ubalozi wa Tanzania.