Waziri Kabudi akutana na Balozi wa Iran nchini Tanzania
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akimuelezea jambo Balozi wa Iran hapa nchini Mhe. Mousa Farhang alipomtembelea katika ofisi ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam Mei 20, 2019