WATUMISHI WA WIZARA WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA UWELEDI NA NIDHAMU.
Sehemu ya Watumishi wa Wizara wakifuatilia hotuba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge kwenye ufunguzi wa mafunzo maalumu kwa watumishi wa Wizara yanayofanyika katika ukumbi wa Veta, jijini Dodoma

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge (katikati walioketi), Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi Rasilimali Watu Bw. Alex Mfungo (kulia walioketi) na Mhe. Balozi Abdulrahman Kaniki wakiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa mafunzo.
Shemu nyingine ya Watumishi wa Wizara wakifuatilia hotuba ya ufunguzi wa Mafunzo