TANZANIA YATOA MUELEKEO WAKE KATIKA AWAMU YA PILI YA UONGOZI WA RAIS MAGUFULI

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe William Tate Ole Nasha (Mb) akiongea na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam
  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge akiongea na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam
  • Balozi wa Umoja wa Ulaya Mhe. Manfredo Fanti akichangia jambo wakati wa Mkutano. Kulia kwake ni Balozi wa Rwanda hapa nchini, Mhe. Meja Jenerali Charles Karamba.
  • Balozi wa Canada Mhe. Pamela O’Donnel akichangia jambo wakati wa Mkutano
  • Sehemu ya Mabalozi na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakifuatilia mkutano