Skip to main content
News and Events

Sherehe za Maadhimisho ya siku ya Uhuru

Sherehe za Maadhimisho ya siku ya Uhuru

  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli akikagua gwaride wakati wa sherehe za maadhimisho ya siku ya Uhuru wa Tanganyika tarehe 9/12/2017. Maadhimisho hayo yalifanyika katika Uwanja wa Jamhuri Mjini Dodoma.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt Augustine Mahiga(wa tatu mbele), anayefuata ni Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Dkt Suzan Kolimba pamoja na Mawaziri na Viongozi mbalimbali wa Serikali wakifuatilia sherehe za maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri Dodoma, tarehe 9/11/2017
  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof.Aldof Mkenda(wa mwisho mstari wa kwanza, mwenye miwani) pamoja na sehemu ya Mabalozi wanaowakilisha nchi zao hapa nchini na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakifuatilia Sherehe za Maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa Tanganyika zilizofanyika Uwanja wa Jamhuri, Dododoma, tarehe 9/12/2017.
  • Sehemu ya Wakurugenzi na watumishi wa Wizara(walioshikilia bendera mstari wa mbele) wakifuatilia Sherehe za Maadhimsho.