SERIKALI YA BRAZIL IMETANGAZA RASMI KUFUNGUA MILANGO YA USHIRIKIANO WA KIFEDHA NA BIASHARA NA TANZAN
SERIKALI YA BRAZIL IMETANGAZA RASMI KUFUNGUA MILANGO YA USHIRIKIANO WA KIFEDHA NA BIASHARA NA TANZANIA
Balozi Mhe. Dkt. Emmanuel Nchimbi akibadilishana mkataba huo na Dkt. Sonia Nunes ambaye ni Wakili wa Serikali ya Brazil mara baada ya kusaini mkataba wa msamaha wa deni
Balozi Mhe. Dkt. Emmanuel J Nchimbi pamoja na Mkuu wa Ujumbe wa Serikali ya Brazil Bw. Guilheme Laux (kulia kwa Balozi Nchimbi) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wapande zote mbili (Tanzania na Brazil)