SADC YAAZIMIA USAFIRISHAJI WA BIDHAA MUHIMU KUDHIBITI COVID - 19

Mwenyekiti wa Baraza la Mawaziri wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini Mwa Afrika (SADC), ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Prof. Palamagamba John Kabudi Akizungumza katika Mkutano na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu maazimio ya Mkutano wa dharura wa Jumuiya hiyo kuhusu Covid-19 kwa Nchi za SADC uliofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam, Tanzania
  • Mwenyekiti wa Mkutano wa Maafisa Waandamizi wa Jumuiya ya Nchi za Kusini Mwa Afrika(SADC) ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Tanzania, Balozi Kanali.Wilbert Ibuge.