RAIS WA JAMHURI YA BOTSWANA MHE.DKT. MOKGWEETSI MASISI AWASILI NCHINI

Rais wa Jamhuri ya Botswana Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Masisi akiwa ameambatana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimkaribisha nchini Rais wa Jamhuri ya Botswana Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Masisi muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  • Rais wa Jamhuri ya Botswana Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Masisi akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula muda mfupi baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ziara ya kikazi ya siku mbili.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwatambulisha baadhi ya wajumbe wa Tanzania walioambatana nae katika mapokezi ya Rais wa Botswana Dkt.Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nerere - Dar es Salaam.