PROFESA KABUDI AKIAPISHWA KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiapa kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma
  • Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiapa mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli, kuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki katika hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino jijini Dodoma
  • Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi akiwa na Dkt. Philip Mpango muda mfupi kabla ya kuapa, Ikulu Chamwino jijini Dodoma.
  • Mhe. Prof. Palamagamba John Kabudi na Mhe. Dkt. Philip Mpango wakiapa, Ikulu Chamwino jijini Dodoma. Mhe. Dkt. Philip Mpango ameapa kuwa Waziri wa Fedha na Mipango