NAIBU WAZIRI DKT. NDUMBARO AFANYA ZIARA KATIKA MIPAKA YA NCHI ILIYOPO MKOANI RUVUMA

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb), akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mhe. Sophia Mfaume, alipowasili Walayani hapo kwa lengo la kutembelea mpaka wa Magazini. Mpaka huu uliopo Wilayani humo unaiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Msumbiji.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akipolewa na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Tunduru alipowasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Wilaya hiyo. Akiwa Wilayani Tunduru Dkt. Ndumbaro ametembelea mpaka wa Wenje unaoiunganisha Tanzania na nchi jirani ya Msumbiji.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa katika katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Namtumbo. Mpaka wa Magazini uliopo Namtumbo unaiunganisha Tanzania na Nchi jirani ya Msumbiji.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Tunduru alipotembelea Mpaka wa Wenje unaoiunganisha Tanzania na Nchi jirani ya Msumbiji.
  • aibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akivuka Mto unaoitenganisha Tanzania na Nchi jirani ya Msumbiji mpakani Chiwindi Wilaya ya Nyasa
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Damas Ndumbaro (Mb) akipokea taarifa kutoka kwa Mkuu wa Wilaya ya Nyasa Mhe. Isabela Chilumba alipotembelea Wilaya hiyo. Akiwa Wilayani Nyasa Dkt. Ndumbaro ametembelea Mpaka wa Chiwindi unaoiunganisha Tanzania na jirani ya Msumbiji