NAIBU WAZIRI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MWENYEKITI WA KAMATI YA SERIKALI YA URUSI

aibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), akiwa katika mazungumzo na Balozi Oleg Ozerov, Mwenyekiti wa Kamati ya Serikali ya Urusi inayosimamia Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika na Urusi.
  • Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk (Mb), akiagana na Balozi Oleg Ozerov, Mwenyekiti wa Kamati ya Serikali ya Urusi inayosimamia Maandalizi ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Afrika na Urusi.