Skip to main content
News and Events

Naibu Waziri afanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania

Naibu Waziri afanya mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Tanzania

  • Naibu Waziri Mhe.Dkt. Kolimba akimsiliza Balozi wa Jamhuri ya Korea Mhe. Young, kulia ni Maafisa kutoka Wizarani wakifuatilia mazungumzo
  • Mhe. Dkt. Kolimba akifafanua jambo wakati wa mazungumzo
  • Naibu Waziri Mhe. Dkt. Kolimba akipokea machapisho yenye ujumbe mbalimbali kutoka kwa Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Mhe.Young mara baada ya mazungumzo