Naibu Waziri afanya mazungumzo na Balozi wa Iran chini Tanzania
Naibu Waziri afanya mazungumzo na Balozi wa Iran chini Tanzania
Naibu Waziri Mhe. Dkt.Susan Kolimba akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran Mhe. Mousa Farhang walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam
Naibu Waziri Mhe.Dkt. Kolimba na Balozi Mhe.Farhang wakiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watendaji wa Wizara na Ofisi ya Ubalozi wa Iran. Wapili kulia ni Balozi Innocent Shio, Afisa kutoka Wizarani Bw.Hangi Mgaka (wa kwanza kulia) na mjumbe kutoka Ubalozi wa Iran nchini (wa kwanza kushoto)