Resources » News and Events

MKUTANO WA 40 WA KAWAIDA WA BARAZA LA MAWAZIRI WA AFRIKA MASHARIKI WAENDELEA KUFANYIKA JIJINI ARUSHA

Mkurugenzi wa Siasa, Ulinzi na Usalama kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Kiongozi wa Ujumbe wa Tanzania Balozi Stephen P. Mbundi akichangia jambo kwenye Mkutano wa 40 Wakawaida wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki unaofanyika jijini Arusha, Tanzania.
  • Sehemu ya washikiri kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano wa 40 wa Kawaida wa Baraza la Mawaziri wa Afrika Mashariki unaondelea jijini Arusha.
  • Mkutano ukiendelea
  • Sehemu nyingine ya washiriki wa mkutano wakifuatilia majadala uliokuwa ukiendelea
  • Meza kuu kutokea kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Mipango, Miundombinu, Fedha na Utawala Mhandisi Steven Mlote, Naibu Katibu Mkuu wa Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala uzalishaji na sekta ya kijamii Christophe Bazivamo na Mshauri wa Masuala ya Jumuiya Dkt. Antony L. Kafumbe wakifuatilia mkutano.