MKUTANO WA 17 WA BARAZA LA MAWAZIRI LA KISEKTA LA UCHUKUZI,MAWASILIANO NA HALI YA HEWA KUFANYIKA DAR

Kaimu Mkurugenzi wa Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Jamii, Bw. Eliabi Chodota akichangia jambo kwenye Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukuzi, Mawasiliano, na Hali ya Hewa uliokuwa ukiendelea katika Hoteli ya Four Points jijini Dar es Salaam.
  • Sehemu ya Washiriki wa Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukuzi, Mawasiliano, na Hali ya Hewa kutoka nchini Burundi wakifuatilia Mkutano uliokuwa ukiendelea katika Hoteli ya Four Points jijini Dar es Salaam.
  • Sehemu ya Washiriki kutoka nchini Sudani Kusini wakifuatilia Mkutano wa 17 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukuzi, Mawasiliano, na Hali ya Hewa uliokuwa ukiendelea jijini Dar es Salaam.
Downloads File: