Skip to main content
News and Events

Mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa kufanyika

Mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa kufanyika jijini Arusha

  • Sehemu ya wajumbe kutoka Tanzania wakifuatilia Mkutano wa 15 wa Baraza la Mawaziri la Kisekta la Uchukukuzi, Mawasiliano na Hali ya Hewa.
  • Bibi Edna Chuku (wa kwanza kulia) Afisa kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akifuatilia mkutano uliokuwa unaendelea.
  • Meza kuu ikiongoza majadiliano wakati wa mkutano
  • Sehemu ya wajumbe kutoka Tanzania wakiimba wimbo wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kabla ya kuanza kwa mkutano. Kushoto ni Mhandisi Abdillah Mataka Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Miundombinu ya Uchumi na Huduma za Kijamii, Mhandisi Julius Chambo (katika) Mkurugenzi Sekta ya Ujenzi kutoka Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano na Bw. Moses Malipula kutoka Wizara ya Fedha na Mipango