Skip to main content
MAONESHO YA PILI YA KAZI ZA SANAA ZA TANZANIA YAFUNGULIWA JIJINI HONG KONG, CHINA.
Baadhi Wanadiplomasia na wafanyabiashara wa jijini Hong Kong wakisikiliza Hotuba ya Ufunguzi ya Balozi wa Tanzania nchini China Mhe. Mbelwa Kairuki
Baadhi Wanadiplomasia na wafanyabiashara wa jijini Hong Kong wakiangalia kazi mbalimbali sanaa kwenye maonyesho yanayoendelea jijini Hong Kong