Resources » Press Release

Mabalozi wa Tanzania watembelea mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere

Mabalozi wa Tanzania wanaoiwakilisha nchi katika mataifa mbalimbali wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Watumishi wa Wizara na Wafanyakazi wa Mradi ,katika moja ya njia ya chini (tunnel) katika mradi wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere lililopo katika hifadhi ya Selous wilayani Rufiji. Mabalozi walitembelea maradi huo kujionea hatua mbalimbali za maendeleo ya utekelezaji. Mradi huu unaotekelezwa na Serikali ya Awamu ya Tano unatarajia kuzalisha Megawati 2115 baada ya kukamilika kwake mwaka 2022.

Mabalozi wa Tanzania watembelea mradi wa bwawa la kuzalisha umeme la Julius Nyerere

  • Mabalozi wakisikliza maelezo kuhusu ujenzi wa mradi kutoka kwa Mhandisi Stevene Manda