Skip to main content
News and Events

Maandalizi Ya Mkutano Wa Jumuiya Ya Maendeleo Ya Nchi Za Kusini Mwa Afrika (SADC) Yaanza

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb.) akisalimiana na Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC, Dkt Stagomena Tax kabla ya kuanza kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania August,2019. Kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNICC), Dar Es Salaam, June 05,2019

  • Maafisa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC walioambatana na Dkt. Stagomena Tax wakisikiliza kwa makini mkutano huo.Maafisa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC walioambatana na Dkt. Stagomena Tax wakisikiliza kwa makini mkutano huo.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akimsikiliza Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stagomena Tax (kulia) wakati wa kikao cha awali cha mashWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akimsikiliza Katibu Mtendaji wa wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika SADC Dkt. Stagomena Tax (kulia) wakati wa kikao cha awali cha mash
  • Sehemu ya wajumbe waliohudhuria mkutano huo nao wakifuatilia kwa makini, katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Grace Martine, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, UliSehemu ya wajumbe waliohudhuria mkutano huo nao wakifuatilia kwa makini, katikati ni Mkurugenzi wa Idara ya Itifaki katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Grace Martine, wa kwanza kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Siasa, Uli
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akiongoza  kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania August,2019.Kikao hicho kimefanyika katika uWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (Mb) (katikati) akiongoza kikao cha awali cha mashauriano kuhusu mkutano wa SADC unaotarajiwa kufanyika Nchini Tanzania August,2019.Kikao hicho kimefanyika katika u