MAADHIMISHO YA TISA YA SIKU YA MARA YAHITIMISHWA WILAYANI BUTIAMA
Wawakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Bw. Mgeta Sabe na Bi. Judith Ngoda wakifuatulia jambo wakati wa sherehe za maadhimisho ya 9 ya Siku ya Mara
Bi. Judith Ngoda mwakilishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akitoa salam za Wizara kwa Viongozi na Wananchi waliojitokeza kwenye Sherehe za Maadhimisho ya 9 ya Siku ya Mara.
Moja Banda la Wadau walioshiriki katika maonesho ya Maadhimisho ya Tisa (9) ya Siku ya Mara yaliofanyika katika viwanja vya Maria Nyerere, Wilayani Butiama Mkoa wa Mara tarehe 12 -15 Septemba, 2020.