Skip to main content
Katibu Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa UNDP nchini
Katibu Mkuu Prof. Mkenda akimsikiliza Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) nchini Bibi Natalie BOUCLY
Katibu Mkuu Prof. Adolf Mkenda na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa (UNDP) nchini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya Mazungumzo. Wengine ni Mkurugenzi wa Ushirikiano wa Kimataifa Wizarani Balozi Celisitine J Mushy (wa kwanza kulia) na Mkuu wa Mradi kutoka UNDP Bw. Amon Manyama (wa kwanza kushoto)