Katibu Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa IFAD nchini
Katibu Mkuu afanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkazi wa IFAD nchini
Katibu Mkuu Prof. Adolf Mkenda akimsiliza Mkurugenzi Mkazi wa IFAD nchini Tanzania Bibi Abla Beuhammouche walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Prof. Adolf Mkenda na Mkurugenzi Mkazi wa IFAD nchini Tanzania Bibi Abla Beuhammouche wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazungumzo