Dkt. Mlima awasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais Museveni
Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Mhe. Dkt. Aziz P. Mlima (kulia) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Uganda, Mhe. Yoweri Kaguta Museveni Ikulu jijini Kampala, Uganda tarehe 25 Septemba 2018.