COMORO YAIPONGEZA TANZANIA KWA UCHAGUZI HURU, AMANI NA HAKI

  • Rais wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assouman akiondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), baada ya kushuhudia hafla ya Uapisho wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt.John Pombe Magufuli iliyofanyika Novemba 5, 2020 Jijini Dodoma na Baadaye alitembelea Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro
  • Rais wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assouman akiongea na waandishi wa habari katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA),kabla ya kuondoka nchini na kurejea nchini Comoro. Kulia ni Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe.Sylivester Mabunda  akifuatiwa na Balozi wa Visiwa vya Comoro nchini Mhe. Dkt. Ahmada El Badaoui Mohamed
  • Kikundi cha Ngoma kikiburudisha katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere kabla ya kuondoka kwa Rais wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assouman
  • Rais wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assouman, akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe.Sylivester Mabunda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), Jijini Dar es Salaam
  • Rais wa Visiwa vya Comoro, Mhe. Azali Assouman, akiagana na Balozi wa Tanzania nchini Comoro, Mhe.Sylivester Mabunda katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa Julius Nyerere (JNIA), Jijini Dar es Salaam