China yatoa msaada wa vifaa vya ofisini kwa ajili ya Mkutano wa SADC

Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akisaini pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Wang Ke nyaraka za makabidhiano ya Masada wa vifaa vya ofisini vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia mbili kumi na saba vitakavyotumika wakati wa Mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC),August 08,2019

China yatoa msaada wa vifaa vya ofisini kwa ajili ya Mkutano wa SADC

  • Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akisaini pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Wang Ke nyaraka za makabidhiano ya Msaada wa vifaa vya ofisini vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni mia mbili kumi na saba vitakavyotumika wakati wa Mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Wanaoshuhudia ni maafisa kutoka Ubalozi wa China na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki. August 08,2019.