Skip to main content
News and Events

Balozi wa Tanzania nchini Korea awasilisha hati za utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Korea awasilisha hati za utambulisho

  • Balozi wa Tanzania nchini Korea Mhe. Matilda Masuka (kushoto) akiwasilisha hati zake za utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe. Moon Jae-in
  • Balozi Mhe.Masuka na Rais wa Jamhuri ya Korea Mhe.Moon Jae-in wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya zoezi la kuwasilisha hati za utambulisho