BALOZI WA TANZANIA NCHINI KENYA AWASILISHA HATI ZA UTAMBULISHO

Balozi wa Tanzania chini Kenya Mhe. Dkt. John Simbachawene akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Nairobi.
  • Balozi wa Tanzania chini Kenya Mhe. Dkt. John Simbachawene akiendelea na zoezi la kukabidhi hati za utambulisho
  • Balozi wa Tanzania chini Kenya Mhe. Dkt. John Simbachawene akiwa ameshika hati za utambulisho kabla ya kukabidhi kwa Mhe. Uhuru Kenyatta Rais wa Jamhuri ya Kenya