Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara
Balozi wa Saudi Arabia akutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa Wizara
Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisalimiana na Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania, walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam
Bw. Suleiman Saleh Kaimu Mkurugenzi Idara ya Mashariki ya Kati, akisalimiana na Mhe. Balozi Mohamed Ben Mansour Al Malek Balozi wa Saudi Arabia nchini Tanzania walipokutana kwa mazungumzo jijini Dar es Salaam