Skip to main content
News and Events

BALOZI SOKOINE AONGOZA UJUMBE WA TANZANIA KATIKA KIKAO CHA MAKATIBU WAKUU WA SADC MJINI LILONGWE

  • Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Joseph E. Sokoine akiongoza ujumbe wa Tanzania katika kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri wa SADC kinachofanyika Lilongwe nchini Malawi. Nyuma ya Balozi Sokoine kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Bw. Exavier Daudi anayefuata ni Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Agnes Kayola pamoja na Afisa dawati.
  • Kikao cha Makatibu Wakuu kutoka Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kikiendelea katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Bingu wa Mutharika Lilongwe, Malawi