BALOZI MULAMULA ATEMBELEA WATUMISHI WALIOPO KATIKA JENGO LA PSSSF

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akizungumza na Kaimu Mkurugenzi Kitengo cha Manunuzi Wizarani Bw. Salifius Mligo wakati alipo watembelea Wafanyakazi walioko katika Ofisi hizo Jijini Dodoma kujionea namna wanavyotekeleza majukumu yao.
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiongea na mmoja wa Watumishi katika Kitengo cha Uhasibu alipotembelea Ofisi hizo kwa lengo la kujionea utendaji
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiwa katika Ofisi za Masijala wakati alipo watembelea Wafanyakazi walioko katika Ofisi hizo kwa lengo la kujionea namna wanavyotekeleza majukumu yao.