BALOZI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA JAMHURI YA KOREA JIJINI DAR ES SALAAM

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi wa Jamhuri ya Korea jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Liberata Mulamula alipowasili katika Ofisi za Ubalozi wa Jamhuri ya Korea na kulakiwa na Balozi wa Korea nchini Mhe. Tae-ick Cho kwa ajili ya kusaini kitabu cha maombolezo katika Ubalozi huo jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa nchi hiyo Tae-woo ROH aliyefariki dunia tarehe 26 Oktoba 2021