BALOZI MULAMULA AMLAKI WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA NCHINI BOTSWANA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akimlaki Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Lemogang Kwape mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere - Dar es Salaam. Mhe. Lemogang Kwape amewasili Nchini kufuatia ziara ya kikazi ya siku mbili ya Rais wa Jamhuri ya Botswana Mheshimiwa Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi anayetarajiwa kuwasili Nchini siku ya Alhamis Juni 10, 2021
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Lemogang Kwape baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere - Dar es Salaam
  • Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Lemogang Kwape muda mfupi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere - Dar es Salaam
  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Botswana Mhe. Lemogang Kwape akiwa katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere - Dar es Salaam