Balozi Mteule wa colombia awasilisha Nakala za Hati za Hutambulisho
Balozi Mteule wa Colombia nchini Tanzania mwenye makazi yake Nairobi, Kenya, Mhe. Elizabeth Taylor akiwasilisha Nakala za Hati za Utambulisho kwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga ofisini kwake jijini Dar es Salaam.