Wizara ya Mambo ya Nje yawasilisha Bajeti Bungeni
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akiwasilisha Bungeni Bajeti ya Wizara yake May 30, 2019
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe akiwa na Mkurugenzi wa Ofisi ya Mambo ya Nje, Zanzibar Balozi Mohamed Hamza(kulia) na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Masharik
Baadhi ya Mabalozi wanaoziwakilisha Nchi zao hapa Nchini Tanzania wakifuatilia uwasilishaji wa hotuba ya Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki iliyowasilishwa na Waziri Profesa Palamagamba John Kabudi katika Bunge la Jamhuri
Baadhi ya Wakurugenzi na Wakuu wa Idara wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wakifuatilia uwasilishaji wa hotuba ya Bajeti ya Wizara hiyo iliyowasilishwa na Waziri Profesa Palamagamba John Kabudi katika Bunge la Jamhuri ya Muungano
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akipongezana na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro mara baada ya kuwasilisha bajeti ya Wizara hiyo katika Bunge la Ja
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi (kushoto) wakijadiliana jambo Bungeni mjini Dodoma na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt Damas Ndumbaro (katikati) pamoja na Waziri
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi akipongezwa na Dkt. Detlef Wrätcher Balozi wa Ujerumani hapa Nchini mara baada ya Waziri kuwasilisha hotuba ya Bjaeti ya Wizara yake. May 30, 2019.
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akipongezwa na Wabunge wa Afrika Mashariki kutoka Tanzania, waliokuja wakati wa kuwasilisha Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Dkt. Faraji Mnyepe akipongezwa na Mwakilishi wa Ubalozi wa China hapa Nchini Bw Lin Liang. May 30, 2019.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) akiongea na mabalozi wanaoziwakilisha nchi zao hapa Tanzania pamoja na Wakuu wa Mashirika ya Kimataifa wakati wa mkutano uliofanyika leo jijini Dar es Salaam